Wito wa Waziri Nyalandu kwa wote waliomuunga mkono kwenye mbio za urais

Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu akitangaza kumuunga mkono alieteuliwa kukiwakilisha Chama Cha Mapinduzi katika mchakato wa Urais Tanzania 2015, Mhe John Pombe Magufuli.