Serikali ya China yakabidhi magari ya kusaidia kupambana na ujangili

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Balozi wa China nchini, Lu Youqing, wakijaribu kuendesha pikipiki maalumu zitakazotumika kwenye vita dhidi ya ujangili. Serikali ya China imekabidhi msaada wa magari 50 na pikipiki hizo 30 pamoja na vifaa vingine kutokana na kuridhishwa na jitihada za serikali.

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Balozi wa China nchini, Lu Youqing na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dk. Adelhelm Meru, wakiwa kwenye picha ya pamoja na askari wa wanyamapori wakati wa makabidhiano ya vifaa hivyo mjini Dar es Salaam, jana.

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akijaribu kuendesha moja kati ya magari yaliyofungwa vifaa maalumu vya mawasiliano kwa ajili ya kupambana na majangili kwenye hifadhi za taifa na mapori ya akiba nchini.

zengwe