Picha: Mheshimiwa Nyalandu akiwa mkoani Arusha

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, na mkewe Faraja, wakilakiwa na mamia ya wanachama wakati wakiwasili kwenye Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Arusha, kuomba udhamini kwa wanachama wenzake. Nyalandu anawania kuteuliwa kupeperusha bendera ya CCM kwenye nafasi ya urais.

DSC_0249 DSC_0258