Nyalandu atangaza kutetea jimbo lake

Mbunge Singida Kaskazini na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ametangaza kutetea kiti chake cha ubunge katika jimbo hilo. Akihutubia mamia ya wakazi waliojitokeza kumsikiliza Nyalandu alisema safari ya miaka 15 ya ubunge imekuwa ni ya mafanikio makubwa na angependa kuhakikisha anaendeleza pale alipoishia.

8

5

Waziri wa Maliasili na Utalii ambayre ni Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro nyalandu akizungumza katika kijiji cha Muvae wilayani Singida juzi alipokwenda kutangaza nia ya kutetea kiti chake katika uchaguzi mkuu ujao.

Wananchi wa kijiji cha Muvae wakimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii ambayre ni Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro nyalandu juzi alipokwenda kutangaza nia ya kutetea kiti chake katika uchaguzi mkuu ujao.

6