Nyalandu alivyoifunga kazi ya kusaka wadhamini

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na mkewe Faraja, wakiwa wamezungukwa na umati mkubwa wa watu wakati alipokwenda kuomba udhamini kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Kata ya Ilongero, Jimbo la Singida Kaskazini mkoani Singida, jana. Katika tukio hilo maelfu ya wananchi walijitokeza kutaka kumdhamini katika harakati zake za kuwania kuteuliwa na CCM kuwania urais. Nyalandu ambaye pia ni mbunge wa jimbo hilo, lakini aliwataka radhi na kuomba kudhaminiwa na wanachama 45 tu kama matakwa ya CCM yanavyoelekeza.

Shughuli za wananchi zilisimama kwa muda kumsikiliza Mheshimiwa Nyalandu

Shughuli za wananchi zilisimama kwa muda kumsikiliza Mheshimiwa Nyalandu

Mamia wakiwa wamemzunguka Mhe Nyalandu

Mamia wakiwa wamemzunguka Mhe Nyalandu

Nyalandu na mkewe Faraja wakipongezwa na wananchi wa Ilongero

Nyalandu na mkewe Faraja wakipongezwa na wananchi wa Ilongero

Mheshimiwa Nyalandu akimwaga sera

Mheshimiwa Nyalandu akimwaga sera

Akipewa mkono wa baraka na wananchi

Akipewa mkono wa baraka na wananchi

Kila mtu alisubiri kupeana mikono na Nyalandu na mkewe