Hatimaye Nyalandu arejesha fomu

Waziri wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Lazaro Nyalandu amerejesha fomu za kuomba kuteuliwa kugombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. Nyalandu aliwasili makao makuu ya CCM Dodoma majira ya saa tisa akiwa amesindikizwa na mkewe Faraja na mamia ya wanachama.

Mkuu wa CCM, Rajabu Luhavi. Kulia ni mkewe Faraja na kushoto ni Luhavi. WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisaini kitabu cha wageni ofisini kwa Naibu Katibu

Mkuu wa CCM, Rajabu Luhavi. Kulia ni mkewe Faraja na kushoto ni Luhavi. WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisaini kitabu cha wageni ofisini kwa Naibu Katibu

2.WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Ruhavi, wakihakiki fomu kabla ya kuzirejesha jana.

2. WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Ruhavi, wakihakiki fomu kabla ya kuzirejesha jana.

1.WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akirejesha fomu za wadhamini kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajabu Luhavi, jana, baada ya kukamilisha kazi ya kuomba udhamini kwa mikoa yote nchini.

1. WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akirejesha fomu za wadhamini kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajabu Luhavi, jana, baada ya kukamilisha kazi ya kuomba udhamini kwa mikoa yote nchini.

MKE wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, Faraja, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhavi ofisini kwake katika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, wakati Nyalandu aliporejesha fomu zake za kuomba kuteuliwa kupeperusha bendera ya CCM kwa nafasi ya urais.

BAADHI ya wanachama wa CCM waliomsindikiza Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, kurejesha fomu za kuomba kuteuliwa kuwania urais kwa tiketi ya CCM mjini Dodoma, jana.

BAADHI ya wanachama wa CCM waliomsindikiza Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, kurejesha fomu za kuomba kuteuliwa kuwania urais kwa tiketi ya CCM mjini Dodoma, jana.

7.WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na mkewe Faraja, wakisindikizwa na wanachama na maofisa wa CCM

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na mkewe Faraja, wakisindikizwa na wanachama na maofisa wa CCM

7.WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na mkewe Faraja, wakisindikizwa na wanachama na maofisa wa CCM Makao Makuu Dodoma kwenda kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhavi, wakati walipofika kurejesha fomu za urais.

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na mkewe Faraja, wakisindikizwa na wanachama na maofisa wa CCM Makao Makuu Dodoma kwenda kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhavi, wakati walipofika kurejesha fomu za urais.

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na mkewe Faraja, wakishangiliwa na mamia ya wanachama wakati wakiondoka ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, jana baada ya kurejesha fomu za kuomba urais.